Ni haki yao ya kidemokrasia ya kujiunga na upande uwapendezao zaidi.
Wananchi wa kawaida wanabadilisha maoni yao kwa nini wabunge na viongozi wengine wasibadilishe?
Hii katiba si kama hesabu ya 1+1,inakanganya wengi.Inawakanganya mawakili sembuse wabunge wasio na ujuzi maalum wa maswala ya kikatiba
What a wicked man I am!The things I want to do,I don't do.The things I don't want to do I find myself doing