wazua Sat, Dec 6, 2025
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In

KCSE Swahili leakage -For those with relatives sitting KCSE
Intelligentsia
#1 Posted : Saturday, November 07, 2009 9:47:00 AM
Rank: Elder


Joined: 10/1/2009
Posts: 2,436

Chagua aitem (item) nne baadhi ya zifuatazo na uandike insha kadhaa kutokana na 'topiki' ulizopewa.
1. Imesemekana ya kwamba ripoti ya Tume ya Waki ndio imemleta Bw Ocampo nchini Kenya
a) Jadili kwa kikamilifu Moreno Ocampo ni wa kabila gani kwanza
b) Tofautisha Moreno Ocampo and muimbaji mashuhuri Moreno.
c) Elezea kwa kinaga ubaga wewe kama mwananchi una uhusiano mgani na Ocampo - anakujua? Na kama hakujui mbona unaandika insha?
d) Eleza kwanini wanasiasa domo kaya kukimya tangu tarehe 5 Novemba 09?
e) Walimhadaa Ocampo kwa kumpeleke kwenye mbuga ya wanyama ya Nbi (Nbi National Park) kuwaona wanyama aina ya Mpigi. Unakubaliana na msemo huu? Eleza

2. Kumekuwa na mitandao mingi sana Kenya - kwa mfano Machungwa Orange),Zain,na Orange iliyo'launchiwa' hivi maajuzi tu.
a) Elezea kwa kabisa kama Michael Joseph ako na laini ya Orange na Zain
b) Elezea kwa nini huenda hana
c) Jadili msemo ‘peculiar habits’
d) VUKA tariff ya mtandao wa Zain kwa wakati mmoja ilikuwa ndiyo tariff ya chini sana. Je,kwa maoni yako mwenyewe,unafikiri bwana Michael Joseph pia aliVUKA?
e) Kama Michael Joseph aliVUKA,ni nani alikuambia?
3. Eleza tofauti kati ya neti zifuatazo,huku ukitumia mifano ‘poa’:
- Interneti
- Fishing neti
- Mosquito neti
- Bridal neti
- Neti boli

4. Ni mwaka 2012. Na ni wakati wa uchaguzi mkuu.
a) Utapiga kura?
b) Unatarajia kumpiga kwa nini? Ame ku 'do'?
c) Je huyo Kura akikushtaki atakuwa na hatia?
d) Nani aliyetunga nduru ya 'Haki Yetu!!!'?
e) Je,unadhania Livondo huenda ikawa alisota?
f) Unadhania wa-America wanatambua umuhimu wa formu 16A? Eleza.
5) Andika repoti isiyopungua maneneo 300 kutoa main pointi yako kuhusu moja ya topiki zifuatazo:
- a) Akinyi amekua ‘saved ‘: Raphael Wanjala sasa ata ‘do’?
b) Siku ile Michael Joseph alinitumia sms ya ‘Please Call Me’’

Muda: Hadi saa 1759 hours


..there's nothing,absolutely nothing really,that I can't do if I put my mind to it.
Users browsing this topic
Guest
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2025 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.