Rank: Elder Joined: 10/4/2006 Posts: 13,822 Location: Nairobi
|
Quote: Unacho kipanda leo ndicho utachovuna kesho Imeandikwa mwanaume kula kwa jasho Najiuliza hivi nani kaiona kesho Chapa mwendo na ukilala hauna chako Hivi uhuru wa kuongea kwenye nchi bado upo Nsije kuongea vitu kesho nikajikuta Central…
Kuna viongozi wavuta bangi ,"WAPO!!!" maana wana maamuzi ya kifee ,"WAPO!!!" Walio mmiss Kibaki ,"WAPO!!!" na waliochoka kuisoma namba, "WAPO!!!" Kuna wasanii mateja ,"WAPO!!!" na waliopoteza marinda "WAPO!!!" ah Kuna radio na tv naona vimeshapoteza CV uh Hakuna uhuru wa habari wala taarifa ya habari Wanapindisha pindisha kuiogopa serikali hah Siamini nchi inaendeshwa kwa kiki Siasa inafunika muziki viongozi wanashindana kukiki Wanagombea front page wauze kwenye gazeti Nasikia kuna viongozi wame forge vieti, "WAPO!!!" kuna mademu wanasagana, "WAPO!!!" Eti kuna vidume vinalelewa ,"WAPO!!!" sijasikia mnasema,"WAPO!!!" Kuna ma staa wanajiuza, "WAPO!!!" wapenda habari za udaku kuliko kazi, "WAPO!!!" Eti kuna wasanii wanarogana ,"WAPO!!!" sijasikia mnasema? Kiongozi mwenye busara anapokea ushauri Anapokea mawazo haweki mbele kiburi Haya samahani muheshimiwa hivi unamjua Wailer? Hili ni jipu jipya toka Kamagut Limeshaiva na usaa limeshatunga nakukabidhi sindano ya kulidunga Daktari haogopi kubwa kidonda we si doctor wa majipu? Tumbua hakuna kuvunga Kuvamia ofisi za watu hee kumbe nayo ni kazi Hakuna noma wanangu tupige kazi bodaboda kazi Bajazi kazi Eti vipi kukaba nayo ni kazi Nasikia kuna viongozi wame forge vieti ,"WAPO!!!" kuna mademu wanasagana ,"WAPO!!!" Eti kuna vidume vinalelewa ,"WAPO!!!" sijasikia mnasema ,"WAPO!!!" Refa ni wao piga manati chapaa vita ya masai na mang’ati fire Biashara ya ngono na super shafti ahaa pumzi imekata nashika shati (sudibidii) Siamini nchi inaendeshwa kwa kiki Siasa inafunika muziki viongozi wanashindana kukiki Wanagombea front page wauze kwenye gazeti Kuna viongozi wavuta bangi ,"WAPO!!!" maana wana maamuzi ya kifee ,"WAPO!!!" Walio mmiss Kibaki ,"WAPO!!!" na waliochoka kuisoma namba ,"WAPO!!!" Nasikia kuna viongozi wame forge vieti ,"WAPO!!!" kuna mademu wanasagana ,"WAPO!!!" Eti kuna vidume vinalelewa ,"WAPO!!!" sijasikia mnasema ,"WAPO!!!" Hahaa aah we mtu gani sasa? Hutaki kushauriwa hutaki kukosolewa Umerogwa wewe! Unajiona ndugu yake na Yesu eeh eeh! Oya wanangu eeh round hii mtanyooka haki ya Mungu Naona kichaa kapewa rungu Ayaa also mkifanyiwa piga manati vita ya masai na mang’ati Pesa na ngono na super shafti pumzi imekata nashita shati Chapaa…. Fire… Utakula jeuri yako ahaa! Free Nation Mi ndo yule afcast wa kinyakyusa na kichaga Oya Amosi Seja! Mbeya City one love hahaa The True Boy Is In The Building
All Mushrooms are edible! Some Mushroom are only edible ONCE!
|