Rank: User Joined: 8/15/2013 Posts: 13,236 Location: Vacuum
|
sheri wrote:Taurrus wrote:Didn't even know he was Italian! RIP Factual Films commentator at Kamukunji grounds was superb! Watoto kaeni chini Sorry, I couldn't help it! Quote:Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee... Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee... Ooooooo mwanamama oooo, Oooooooo mwanamama... Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee... Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee... Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo, sijui mwaka gani nitarudi mama yoyoyoooo, Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo, lakini ni hali ya dunia ni vigumu kuepuka aaaaaaa Ooooooo mwanamama oooo, Oooooooo mwanamama... Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo, sijui mwaka gani nitarudi mama yoyoyoooo, Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo, lakini ni hali ya dunia ni vigumu kuepuka aaaaaaa Ooooooo mwanamama oooo, Oooooooo mwanamama... Ooooo Nimaru mama ee, Nimaru mama, Nimaru bibi... Ooooo usilie mama ee, usilie mama, ninarudi TZ... Ooooo nitarudi bibi ee, nikuone mama, tufurahi pamoja... Ooooo nifurahi nawe oooooooo... Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee... Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee... Ooooooo mwanamama oooo, Oooooooo mwanamama... Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee... Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee... Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo, sijui mwaka gani nitarudi mama yoyoyoooo, Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo, lakini ni hali ya dunia ni vigumu kuepuka aaaaaaa Ooooooo mwanamama oooo, Oooooooo mwanamama... Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo, sijui mwaka gani nitarudi mama yoyoyoooo, Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo, lakini ni hali ya dunia ni vigumu kuepuka aaaaaaa Ooooooo mwanamama oooo, Oooooooo mwanamama... If Obiero did it, Who Am I?
|