Um Sayala wrote:Nomanoma wrote:Where do people go for
1. CID clearance certificate
2.Ant-Corruption and ethics certificate and how much?
Help please
Iko maswali zingine haziitaji majibu, cz the answers are in the question itself. Ni kama kuuliza maskio za punda zinapatikana wapi. Nkt

Habari Kaka.Mbona kua mkali hivi jumatatu asubuhi?Ama ni ile mondayblues?
Peana jibu na kama huna ;KIMYA, Kuuliza sio ujinga na kama ni ujinga sio kupenda kwake ni maumbile.Kazi yake Maulana.
Ukiulizwa Maskio ya punda yako wapi, pengine mwenye swali ako Pundablind, hayaoni kamwe.
Love is beautiful and so are those who share it.With Love, Marriage is an amazing event in ones life time, the foundation of joy, happiness and success.