A tanzanian on the presidential debate:
kwa maono yangu naona
martha Karua was a great
debator,hasa kwa
kuzungumzia kwa kuonesha
akisemacho ndicho
amanishacho,nampa
namba1,pili nakuja kwa
Raila,tatu nakuja kwa Peter
Keneth na mwisho kwa Uhuru
mudavad...ila Dida was like a
comedian in there,alafu
kulukuwa na iron man pale
ndani hakutaka sikia chochote
sura ngumu macho
katoa,wakenya mkimpa yule
vita zitaibuka na majirani.
bwahahahahaa my ribz! Is the guy being described last Paul Muite?

TULIA.........UFUNZWE!