KulaRaha wrote:Tanazania has gold, natural gas, diamonds, uranium, rubies, titanium, some say uranium, and lots of water.
But they don't have brains.
bora nyie wenye akili watu wenu wanalala mitaani,wanakula majalalani,uchumi wenu unashikiliwa na watu wachache wengi wenu maskini hata wewe ulieandika maoni ni mmoja wao.
bahati yenu mmesaidiwa na waingereza kwasababu walidhani kenya ni kama kwao.
njoo tz uone maisha ya watu,taaluma na ujuzi wetu sio kubwabwaja tu maneno yasiyo na msingi wala ukweli.