pole sana bwanawe!!!
radhi nakuomba kwa maswali haya. umekuwa ukitafuta bibi ama ndio unatafuta sasa?,kwanini haujafaulu kama umekuwa ukitafuta bibi?,unatafuta bibi aina gani ama mwenye tabia zipi?,na umekuwa ukitafuta bibi wapi?
kwa hayo zangu nakwend nikikutakia kila la kheri kwenye harakati zako za kutafuta bibi....lakini nakusihi ya kwamba; tafuta rafiki mwanzo halafu umkolee kama bibiyo.
'Advice is like snow; the softer it falls,the longer it dwells upon,and the deeper it sinks into the mind' Samuel Taylor Coleridge