C & P
Mike Sonko just wrote on Mutula Kilonzo's wall.
"Niaje mtu nguyaz. Siku mob jo, I hope hakuna beef. Btw my learned friend, hiyo number ya Kethi Diana niaje?"
*Oraro and 65 others like this.*
Kutuny Comments: Manze sonko jo! Umeamua round hii ni wasomi. Unadaisha kumvutia nangos? Wazi wazi, alafu mi pia unikumbuke.
SONKO: Kutuny we nawe na sheng zingine za stone age! Ebu toa ufala na ushamba hapa, nabonga na wosomi.
KUTUNY: Ooo, ni hivyo?
SHEBESH: *Ahem!*
MUTULA: We Kioko Mbuvi, who told you my daughter is for hooligans?
WAITITU: Pwahahahaha, ati hoorigans!! Sonko si uangukie Shebesh manzi wa nai ka mutula anaringa hivyo?
PASARIS: Ati manzi wa nai? Mscheeeeeew!
MURUNGI: Hehe, aki Mutura (Mutula) si una matusi! Mwabie anyemeree Shebesh.
KABOGO: Tihihihi. Murungi ni 'MUTULA,' si 'MUTURA.' Mutura ni ile sousage ya ma sufferers ka akina Waititu. Hehe, KUNG'OA NAYO!
Murungi: @Kabogo kung'oa NI WEWE!! Pedra (pedler) wewe!
SONKO: Enyewe hii story ilikua yangu na Mutush (mutula,) sijui nyi nae mmetokea shimo gani?
MARY KIBAKI: @Sonko kwani mliachana na Chebech (Shebesh)? ROREST!
MURUNGARU: Kweli hapa watu wana chida ya matamchi. @Mary na Murungi sijataja majina yenyu msinimeze.
KETHI KILONZO: @Sonko una degree ama masters ngapi? Ama we pia una zile degree za Punjab University huko India?
*Kidero and Orengo like this.*
PETER KENNETH: @Kethi ebu niflash...0722...
#Mike Sonko removes post.#
"Never regret, if its good, its wonderful. If its bad, its experience."