Waswahili nao! Eti...
1. Hata simba na ukali wake bado hutiwa mimba.
2. Hata uwe na haraka aje, huwezi kuomba lift gari la taka
3. Hata uendeshe range rover, hata upande chopper. sote tutaenda chooni kwa miguu.
4. Hata umle nguruwe, umle bata mwenye mafuta mengi, ule bhajia, au hata wali wa kupakwa, choo ulitoalo ni lile lile. rangi na uzito tu ndio tofauti.
5. Iwapo unalo shamba ekari alfu kadhaa, au uwe skwota, pindi tufapo tu, kaburi ni futi sita.
6. Hata Kivuli ya Mzungu ni Nyeusi...
Receive with simplicity everything that happens to you.β β Rashi