Rank: Chief Joined: 5/9/2007 Posts: 13,095
|
Wazimu...for those who can understand what this guy is saying Quote:Dagitari Wanjohi Kigogoine Today is Friday, right?
There is a song I have removed and I want you to request it when you go to beat dogogio at Mugithis joints. Its also on youtube and the chorus goes like this..
♪♫♪♫teteteteete ♪♫♪♫♪♫♪♫
♪♫Fuda ilinyimwo pembe, ikapeo masikio, punda! ilinyimwo pembe, ikapea maskio, maaaskio na josto kubwa!.
♪♫Onjohi alinyimwo kisungu poa, Onjohi alinyimwo kisungu, lakini akepeo zigi zagi ya ajabu.
♪♫Hata wewe ile ulinyimwo, angalia nini ulipeo badala ya iyo, angalia sana na utashukuru!.
♪♫Wengine walipeo sura mzuri, wakapeo tiita water water. na wengine walinyimwo sura mzuri, na tiita ni sand paper.
♪♫Wengine walinyimwo sura, lakini wakapeo thutha ya mluhya, na hio ndio tunapendaga kuona!
♪♫Wanaume wengine walinyimwo lugha, lakini wakapeo kifua ya bouncer, na persons wanapendaga hio, ju wao hufikiria, hata josto iko na bicepts
♪♫ Wengine walinyimwo ujaja wa persons, lakini wakapeo pesa mingi, na pesa ndio inaongeaga kwa personisi kuliko lugha!.
♪♫Hata wewe ile ulinyimwo, angalia nini ulipeo, angalia sana na utashukuru.
♪♫ Martin Goats Mwangi alivujika mkono, lakini josto haikuvujika, ikamuezesha kuclimb Nurses wawili, na wote wakajua wameclibio, lkaribu wa mdunge STOPPER! na mimi ni witinesi!
♪♫ Martin Maura last Friday hakuwa na mutu, lakini alikiss mutu kwa baaar, na huo mtu alikuwa wa bro yangu, mpaka akagusa tiita small,akasema hakana thuruari, na hio kitu ikareta shida sana, mutu mpaka akatupwo, mimi dio nirizima hio motooo.
♪♫ Naoba persons moja leo, ijitoree iweke thuruar on head for Mato, ndio nikunyuire dogogio hapo, juu ni mim nitakuwa nimem connecti!
Asanteni!
That song is on youtube and all music shops near you. You can also tune in and listen to fans of kuihuria na jeff kuria!...inoorofm.co.ke/, kesho during mugithi with Man Aleki, he will play that song.
I am
This maaan Onjohi.
|