Usilete Ukabila Hapa!1. Kama wewe sio mkabila.
2. Kama wewe ni mkenya halisi.
3. Kama unapenda kufanya biashara.
4. Kama unapenda maziwa ya bure.
5. Kama wewe ni 8-4-4 ama A-Levels.
6. Kama unaheshimu masomo yako.
7. Kama unataka mtoto wako atumie komputa.
8. Wafuganyi wa mifugo welendelee, ili tuchinje mbuzi wengi next year, kama wazee wa wazua, not fake elders.
9. Kama loans zinasumbua.
10. kama unapenda "chips funga"
If you are a real elder, please translate, and vote Jubilee
PS: Nairobi ni Kidero.
Ras Kienyeji Man