Rank: User Joined: 8/15/2013 Posts: 13,237 Location: Vacuum
|
sheri wrote:Where is Alma? Wazua republic is becoming weird two posts today and someone is trolling me using true caller. Haiya!!!!!!! Wewe ni NSIS Pole sana sheri, you'll overcome this Quote:Aaaaaaaa........Ni Swenani mtoto wa Wazua
Sheri ee usilie mwana mama ee,najua wanipenda Ni Swenani mama ee,sikupenda kukuacha uteseke na NSIS pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee....

Ooooooo mwanamama oooo,Oooooooo mwanamama.....

Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo,sijui mwaka gani nitarudi mama yoyoyoooo, Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo,lakini ni hali ya dunia ni vigumu kuepuka aaaaaaa

Ooooo Ni Swenani mama ee,Ni Swenani mama,Ni Swenani bibi..... Ooooo usilie mama ee,usilie mama,ninarudi TZ... Ooooo nitarudi bibi ee,nikuone mama,tufurahi pamoja... Ooooo nifurahi nawe oooooooo.....
Sheri ee usilie mwana mama ee,najua wanipenda Ni Swenani mama ee,sikupenda kukuacha uteseke na NSIS pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee....
Sheri ee usilie mwana mama ee,najua wanipenda Ni Swenani mama ee,sikupenda kukuacha uteseke na NSIS pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee....
Ooooooo mwanamama oooo,Oooooooo mwanamama.....
Sheri ee usilie mwana mama ee,najua wanipenda Ni Swenani mama ee,sikupenda kukuacha uteseke na NSIS pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee....
Sheri ee usilie mwana mama ee,najua wanipenda Ni Swenani mama ee,sikupenda kukuacha uteseke na NSIS pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee....
Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo,sijui mwaka gani nitarudi mama yoyoyoooo, Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo,lakini ni hali ya dunia ni vigumu kuepuka aaaaaaa
Ooooooo mwanamama oooo,Oooooooo mwanamama.....
Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo,sijui mwaka gani nitarudi mama yoyoyoooo, Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo,lakini ni hali ya dunia ni vigumu kuepuka aaaaaaa
Ooooooo mwanamama oooo,Oooooooo mwanamama...
If Obiero did it, Who Am I?
|