wazua Sat, Nov 23, 2024
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In | Register

2 Pages<12
Mteja wa zao la KITUNGUU toka Kenya
Mariacha
#21 Posted : Tuesday, February 17, 2015 7:57:08 PM
Rank: Member

Joined: 5/4/2011
Posts: 115
Coolio wrote:
Am wrote:
Mariacha wrote:
nakujua wrote:
Am wrote:
Bigchick wrote:
kivuma wrote:
Nandwa wrote:
Jambo Kaka,

Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!

Hata hivyo, zao lako waliuza aje.

Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border.
Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining)

Karibu

Kaka Kivuma,U hali gani?

Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo.

Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi.

Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh.

Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa.

Nakutakia heri njema.

Applause Applause Applause Applause
Applause Applause Applause Applause

Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa.

smile nimestajabu, bibi amenena mawaidha ya maana sana - natumai @kivuma atayatilia maanani

in my language Kinena means something totally different... hehehehe. but i get what you are saying @Am... the swaha... #icant... ul laugh at me for days

Kwa Lugha Yako Kinena Yamanisha Nini Ndugu @Mariacha? Na Mbona Unachafua Akili bure Mtoka Mlimani?

Laughing out loudly ati mtoka mlimani! #dead

Mtoka mlimani kumaanisha highlands?? hehehehe

Kinena kwa lugha ya kikwetu humaanisha 'groin' na kimombo. akili yangu safi kabisa, kisa na maana neno kinena ni sehemu tu ya mwili, na sehemu yenyewe safi sana na iko mbali kabisa na akili mwilini! smile
tafakari hayo!
the warmer the blankets, the colder the future
majimaji
#22 Posted : Wednesday, February 18, 2015 9:36:46 AM
Rank: Veteran

Joined: 4/4/2007
Posts: 1,162

@kivuma, waeza pata bidhaa nyingine, tuseme mbao?
Lolest!
#23 Posted : Wednesday, February 18, 2015 10:56:15 AM
Rank: Elder

Joined: 3/18/2011
Posts: 12,069
Location: Kianjokoma
Impunity wrote:
sheri wrote:
Impunity wrote:
kivuma wrote:
Habari,
Mimi ni Mtanzania nimelima zao la KITUNGUU heka mbili huku mkoa wa Kilimanjaro. natarajia kuanza kuvuna wakati wowote kuanzia wiki ijayo.

Aina ya kitunguu: Red bombay

Kama kuna Mteja hapa tuwasiliane.

e-mail: 123samarantino@gmail.com
whatsapp: +255755508667

KARIBUNI SANA.........

Wewe ni soketi ama plagi?
d'oh!

Am laughing so hard. Haki @impunity ati plagi is that swahili really.

Sasa kama wewe ungekuwa mimi ungeuliza aje?

Kaka Impiuniti yu sahihi

Kuna mbinu ya lugha iitwayo utohozi. Aghalabu mbinu hii hutumika iwapo hakuna neno sawa katika Kiswahili ilhali neno hilo liko katika lugha ingine kama Kiingereza. Lakini pia hutumika ikiwa kisawe cha Kiswahili hakijakubalika au kina utata wa matamshi k.m. jina kompyuta badala ya tarakilishi

Laughing out loudly smile Applause d'oh! Sad Drool Liar Shame on you Pray
Lolest!
#24 Posted : Wednesday, February 18, 2015 10:58:50 AM
Rank: Elder

Joined: 3/18/2011
Posts: 12,069
Location: Kianjokoma
Mariacha wrote:
kivuma wrote:
Bigchick wrote:
kivuma wrote:
Nandwa wrote:
Jambo Kaka,

Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!

Hata hivyo, zao lako waliuza aje.

Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border.
Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining)

Karibu

Kaka Kivuma,U hali gani?

Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo.

Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi.

Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh.

Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa.

Nakutakia heri njema.

Niko poa Bro.

Debe moja ni kilo 20 maana yake gunia moja ni kilo 140 i.e 20 x 7

Exchange rate: 1 Ksh = 18 Tsh
kwahio Tsh 150,000 = Aprox Ksh 8152

Karibu

140Kgs = KES8,152
1Kg = KES8,152/140
= KES58.23

Current Market Prices for onions = KES(55 to 60)

Quite fair.

58 in Tz? Transport and other costs??
Laughing out loudly smile Applause d'oh! Sad Drool Liar Shame on you Pray
Am
#25 Posted : Wednesday, February 18, 2015 11:25:37 AM
Rank: Veteran

Joined: 2/21/2012
Posts: 1,739
Mariacha wrote:
Coolio wrote:
Am wrote:
Mariacha wrote:
nakujua wrote:
Am wrote:
Bigchick wrote:
kivuma wrote:
Nandwa wrote:
Jambo Kaka,

Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!

Hata hivyo, zao lako waliuza aje.

Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border.
Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining)

Karibu

Kaka Kivuma,U hali gani?

Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo.

Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi.

Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh.

Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa.

Nakutakia heri njema.

Applause Applause Applause Applause
Applause Applause Applause Applause

Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa.

smile nimestajabu, bibi amenena mawaidha ya maana sana - natumai @kivuma atayatilia maanani

in my language Kinena means something totally different... hehehehe. but i get what you are saying @Am... the swaha... #icant... ul laugh at me for days

Kwa Lugha Yako Kinena Yamanisha Nini Ndugu @Mariacha? Na Mbona Unachafua Akili bure Mtoka Mlimani?

Laughing out loudly ati mtoka mlimani! #dead

Mtoka mlimani kumaanisha highlands?? hehehehe

Kinena kwa lugha ya kikwetu humaanisha 'groin' na kimombo. akili yangu safi kabisa, kisa na maana neno kinena ni sehemu tu ya mwili, na sehemu yenyewe safi sana na iko mbali kabisa na akili mwilini! smile
tafakari hayo!

Mtoka Mlimani Hapa Wazua Ni ''Mountaineer'' Yaani mwenye ametoka Mkoa wa Kati Ndugu, Yaani wewe ni Okuyo. Umenipata Sasa? Sasa Hiyo Groini unaongea Ukishuka Kidogo Iko Karibu Na nini Ndugu @Mariacha??. Sasa Hiyo ndio Mimi Nasema Itaharibu Akili Yako Kijana. Wanipata Sasa??
Do not be anxious about anything, but in everything, by prayer and petition, with thanksgiving, present your requests to God..
Mariacha
#26 Posted : Thursday, February 19, 2015 9:28:09 AM
Rank: Member

Joined: 5/4/2011
Posts: 115
Am wrote:
Mariacha wrote:
Coolio wrote:
Am wrote:
Mariacha wrote:
nakujua wrote:
Am wrote:
Bigchick wrote:
kivuma wrote:
Nandwa wrote:
Jambo Kaka,

Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!

Hata hivyo, zao lako waliuza aje.

Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border.
Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining)

Karibu

Kaka Kivuma,U hali gani?

Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo.

Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi.

Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh.

Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa.

Nakutakia heri njema.

Applause Applause Applause Applause
Applause Applause Applause Applause

Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa.

smile nimestajabu, bibi amenena mawaidha ya maana sana - natumai @kivuma atayatilia maanani

in my language Kinena means something totally different... hehehehe. but i get what you are saying @Am... the swaha... #icant... ul laugh at me for days

Kwa Lugha Yako Kinena Yamanisha Nini Ndugu @Mariacha? Na Mbona Unachafua Akili bure Mtoka Mlimani?

Laughing out loudly ati mtoka mlimani! #dead

Mtoka mlimani kumaanisha highlands?? hehehehe

Kinena kwa lugha ya kikwetu humaanisha 'groin' na kimombo. akili yangu safi kabisa, kisa na maana neno kinena ni sehemu tu ya mwili, na sehemu yenyewe safi sana na iko mbali kabisa na akili mwilini! smile
tafakari hayo!

Mtoka Mlimani Hapa Wazua Ni ''Mountaineer'' Yaani mwenye ametoka Mkoa wa Kati Ndugu, Yaani wewe ni Okuyo. Umenipata Sasa? Sasa Hiyo Groini unaongea Ukishuka Kidogo Iko Karibu Na nini Ndugu @Mariacha??. Sasa Hiyo ndio Mimi Nasema Itaharibu Akili Yako Kijana. Wanipata Sasa??

Nakupata lakini sikuelewi kaka @Am, Hata kama hapo chini ya kinena ni mulingoti, bado safi sana na hakuna uchafu wowote, akili inaharibishwa na nini??
the warmer the blankets, the colder the future
subzero
#27 Posted : Sunday, February 22, 2015 6:32:33 PM
Rank: Member

Joined: 1/10/2008
Posts: 365
kaka, nina uhakika kwa hiyo bei uliotaja, hutokutana na mnunuzi !! soko la kwako ni bei gani kwa gunia hilo ?
Mtu Biz
#28 Posted : Monday, February 23, 2015 4:40:30 PM
Rank: Veteran

Joined: 1/16/2007
Posts: 1,320
Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
Sola Scriptura

Othelo
#29 Posted : Monday, February 23, 2015 4:44:42 PM
Rank: User

Joined: 1/20/2014
Posts: 3,528
munaumiza mimi kichwa Brick wall Brick wall Brick wall
Formal education will make you a living. Self-education will make you a fortune - Jim Rohn.
kysse
#30 Posted : Wednesday, February 25, 2015 12:14:29 AM
Rank: Elder

Joined: 1/17/2013
Posts: 4,693
Location: Earth
Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
kiswahili ni kitunguu-African proverb
Rankaz13
#31 Posted : Wednesday, February 25, 2015 12:35:49 AM
Rank: Elder

Joined: 5/21/2013
Posts: 2,841
Location: Here
kysse wrote:
Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
kiswahili ni kitunguu-African proverb

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
Life is like playing a violin solo in public and learning the instrument as one goes on.
butterflyke
#32 Posted : Friday, February 27, 2015 8:33:13 AM
Rank: Elder

Joined: 5/1/2010
Posts: 3,024
Location: Hapa
Rankaz13 wrote:
kysse wrote:
Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
kiswahili ni kitunguu-African proverb

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly

Laughing out loudly Laughing out loudly
Float like a butterfly, sting like a bee. - Muhammad Ali🐝
Users browsing this topic
Guest
2 Pages<12
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2024 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.