Wazua
»
Market
»
Wanted
»
Mteja wa zao la KITUNGUU toka Kenya
Rank: Member Joined: 5/4/2011 Posts: 115
|
Coolio wrote:Am wrote:Mariacha wrote:nakujua wrote:Am wrote:Bigchick wrote:kivuma wrote:Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu Kaka Kivuma,U hali gani? Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo. Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi. Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh. Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa. Nakutakia heri njema. Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa. nimestajabu, bibi amenena mawaidha ya maana sana - natumai @kivuma atayatilia maanani in my language Kinena means something totally different... hehehehe. but i get what you are saying @Am... the swaha... #icant... ul laugh at me for days Kwa Lugha Yako Kinena Yamanisha Nini Ndugu @Mariacha? Na Mbona Unachafua Akili bure Mtoka Mlimani? ati mtoka mlimani! #dead Mtoka mlimani kumaanisha highlands?? hehehehe Kinena kwa lugha ya kikwetu humaanisha 'groin' na kimombo. akili yangu safi kabisa, kisa na maana neno kinena ni sehemu tu ya mwili, na sehemu yenyewe safi sana na iko mbali kabisa na akili mwilini! tafakari hayo! the warmer the blankets, the colder the future
|
|
Rank: Veteran Joined: 4/4/2007 Posts: 1,162
|
@kivuma, waeza pata bidhaa nyingine, tuseme mbao?
|
|
Rank: Elder Joined: 3/18/2011 Posts: 12,069 Location: Kianjokoma
|
Impunity wrote:sheri wrote:Impunity wrote:kivuma wrote:Habari, Mimi ni Mtanzania nimelima zao la KITUNGUU heka mbili huku mkoa wa Kilimanjaro. natarajia kuanza kuvuna wakati wowote kuanzia wiki ijayo. Aina ya kitunguu: Red bombay Kama kuna Mteja hapa tuwasiliane. e-mail: 123samarantino@gmail.comwhatsapp: +255755508667 KARIBUNI SANA......... Wewe ni soketi ama plagi? Am laughing so hard. Haki @impunity ati plagi is that swahili really. Sasa kama wewe ungekuwa mimi ungeuliza aje? Kaka Impiuniti yu sahihi Kuna mbinu ya lugha iitwayo utohozi. Aghalabu mbinu hii hutumika iwapo hakuna neno sawa katika Kiswahili ilhali neno hilo liko katika lugha ingine kama Kiingereza. Lakini pia hutumika ikiwa kisawe cha Kiswahili hakijakubalika au kina utata wa matamshi k.m. jina kompyuta badala ya tarakilishi
|
|
Rank: Elder Joined: 3/18/2011 Posts: 12,069 Location: Kianjokoma
|
Mariacha wrote:kivuma wrote:Bigchick wrote:kivuma wrote:Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu Kaka Kivuma,U hali gani? Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo. Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi. Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh. Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa. Nakutakia heri njema. Niko poa Bro. Debe moja ni kilo 20 maana yake gunia moja ni kilo 140 i.e 20 x 7 Exchange rate: 1 Ksh = 18 Tsh kwahio Tsh 150,000 = Aprox Ksh 8152 Karibu 140Kgs = KES8,152 1Kg = KES8,152/140 = KES58.23 Current Market Prices for onions = KES(55 to 60) Quite fair. 58 in Tz? Transport and other costs??
|
|
Rank: Veteran Joined: 2/21/2012 Posts: 1,739
|
Mariacha wrote:Coolio wrote:Am wrote:Mariacha wrote:nakujua wrote:Am wrote:Bigchick wrote:kivuma wrote:Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu Kaka Kivuma,U hali gani? Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo. Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi. Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh. Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa. Nakutakia heri njema. Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa. nimestajabu, bibi amenena mawaidha ya maana sana - natumai @kivuma atayatilia maanani in my language Kinena means something totally different... hehehehe. but i get what you are saying @Am... the swaha... #icant... ul laugh at me for days Kwa Lugha Yako Kinena Yamanisha Nini Ndugu @Mariacha? Na Mbona Unachafua Akili bure Mtoka Mlimani? ati mtoka mlimani! #dead Mtoka mlimani kumaanisha highlands?? hehehehe Kinena kwa lugha ya kikwetu humaanisha 'groin' na kimombo. akili yangu safi kabisa, kisa na maana neno kinena ni sehemu tu ya mwili, na sehemu yenyewe safi sana na iko mbali kabisa na akili mwilini! tafakari hayo! Mtoka Mlimani Hapa Wazua Ni ''Mountaineer'' Yaani mwenye ametoka Mkoa wa Kati Ndugu, Yaani wewe ni Okuyo. Umenipata Sasa? Sasa Hiyo Groini unaongea Ukishuka Kidogo Iko Karibu Na nini Ndugu @Mariacha??. Sasa Hiyo ndio Mimi Nasema Itaharibu Akili Yako Kijana. Wanipata Sasa?? Do not be anxious about anything, but in everything, by prayer and petition, with thanksgiving, present your requests to God..
|
|
Rank: Member Joined: 5/4/2011 Posts: 115
|
Am wrote:Mariacha wrote:Coolio wrote:Am wrote:Mariacha wrote:nakujua wrote:Am wrote:Bigchick wrote:kivuma wrote:Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu Kaka Kivuma,U hali gani? Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo. Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi. Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh. Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa. Nakutakia heri njema. Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa. nimestajabu, bibi amenena mawaidha ya maana sana - natumai @kivuma atayatilia maanani in my language Kinena means something totally different... hehehehe. but i get what you are saying @Am... the swaha... #icant... ul laugh at me for days Kwa Lugha Yako Kinena Yamanisha Nini Ndugu @Mariacha? Na Mbona Unachafua Akili bure Mtoka Mlimani? ati mtoka mlimani! #dead Mtoka mlimani kumaanisha highlands?? hehehehe Kinena kwa lugha ya kikwetu humaanisha 'groin' na kimombo. akili yangu safi kabisa, kisa na maana neno kinena ni sehemu tu ya mwili, na sehemu yenyewe safi sana na iko mbali kabisa na akili mwilini! tafakari hayo! Mtoka Mlimani Hapa Wazua Ni ''Mountaineer'' Yaani mwenye ametoka Mkoa wa Kati Ndugu, Yaani wewe ni Okuyo. Umenipata Sasa? Sasa Hiyo Groini unaongea Ukishuka Kidogo Iko Karibu Na nini Ndugu @Mariacha??. Sasa Hiyo ndio Mimi Nasema Itaharibu Akili Yako Kijana. Wanipata Sasa?? Nakupata lakini sikuelewi kaka @Am, Hata kama hapo chini ya kinena ni mulingoti, bado safi sana na hakuna uchafu wowote, akili inaharibishwa na nini?? the warmer the blankets, the colder the future
|
|
Rank: Member Joined: 1/10/2008 Posts: 365
|
kaka, nina uhakika kwa hiyo bei uliotaja, hutokutana na mnunuzi !! soko la kwako ni bei gani kwa gunia hilo ?
|
|
Rank: Veteran Joined: 1/16/2007 Posts: 1,320
|
|
|
Rank: User Joined: 1/20/2014 Posts: 3,528
|
munaumiza mimi kichwa Formal education will make you a living. Self-education will make you a fortune - Jim Rohn.
|
|
Rank: Elder Joined: 1/17/2013 Posts: 4,693 Location: Earth
|
|
|
Rank: Elder Joined: 5/21/2013 Posts: 2,841 Location: Here
|
|
|
Rank: Elder Joined: 5/1/2010 Posts: 3,024 Location: Hapa
|
Float like a butterfly, sting like a bee. - Muhammad Ali🐝
|
|
Wazua
»
Market
»
Wanted
»
Mteja wa zao la KITUNGUU toka Kenya
Forum Jump
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.
|