Rank: Veteran Joined: 1/16/2007 Posts: 1,320
|
masukuma wrote:Quote:Mkuu mtu mwenye nia thabiti ya kufanya uharifu mkubwa kama milipuko, hawezi hata siku moja akaweka improvised explosives au a real one sehemu ambayo vitaonekana kirahisi ili wenye malengo yao OVU wapate publicity STUNT ya kutosha, baadae kabisa wa-zero in kuwatia misuko suko watu ambao hawahusiki kabisa!!
Binafsi publicity STUNTS hizi za kitoto sizipendi kabisa - tusipokuwa makini Taifa letu linaweza kujikuta linajingiza katika machafuko ya kijinga kutokana na baadhi ya Watanzania wenzetu, wengi wao wenye dhamana kujaribu ku-manufacture migogoro hisiyo kuwa na kichwa wala miguu, Tanzania ni ya watu wote tunapaswa kukemea kwa nguvu zetu zote kwa wenzetu wenye lengo la kuleta vurugu za kuchonga tu.
Mimi nawapa rahi kwamba unaweza kuchonga migogoro na machafuko lakini huna uwezo wa Kimungu au kinabii kujuwa mwisho wake utakuwa vipi. Huku kutoona mbali kwetu ni rahisi nchi ambazo zina lengo baya na Taifa letu ku-exploit ukosefu akili wa kwetu kuwapenyeza watu wageni tukajikuta tunayo yasikia kwa majirani zetu yanahamia kwetu! YOU'VE BEEN WARNED, lazima Watanzania bila ya kujali Vyeo vyetu/wadhifa kufikilia mara mbila kabla hatujaruka i.e think TWICE b4 you LEAP. Tanzanian version of @alma
|