Kenya gets blamed for the Blast.
http://www.jamiiforums.com/jukw...ni-kwa-rc-mulongo-4.htmlQuote:Swali zuri sana, Arusha ndo centre of recruitment of potential terrorist, kuna viongozi wa dini wanapita wanawadanganya wazazi hasa familia maskini kwamba wanakwenda kuwasomesha watoto wao Kenya. Watoto wakifika Kenya wanashangaa kwamba mafunzo wanayopata ni karate, baadaye watoto hao hupelekwa Somalia kufanyiwa brainwashing na kufundishwa ugaidi.
Kwa taarifa za ndani ni kwamba wako wengi sana na wanaamini watu wote wasioamini wanachoamini ni makafiri na kwa hiyo wanastahili kifo.
It is time for the government to step up to confront recruiters otherwise there is more to come
Quote:Wakenya hao wanataka kufukuza watalii Arusha kama ambavyo wamekimbizwa huko kwao na maharamia wa kisomali. Kenya ni noma jamani!!!!
Quote:Serikali ya kenya haiwezi kuhusika na kama ingehusika ingefanya kiufasaha zaidi au al shabab haiwezi kutengeneza vi bomu mshenzi. Eti kwenye mkutano wa hadhara unarusha bomu unaua watu 3. Au kwenye hotel unarusha bomu unaua mtu mmoja. Al shabab wanashusha hotel nzima. Hayo mabomu ni wahuni wa arusha na bodaboda wanajaribu kuuharibu mji. Na wala si dini.