Lolest! wrote:Asante sana Bi Admin. Umefanya mengi ya upumbavu na ya kukera lakini twaipenda wazua yako bado. Ndiposa wahenga wakanena Baniani ni mbaya lakini kiatu chake ni dawa
@lady admin,
Am patiently waiting for the above wazuan to join me,Otherwise I need an explanation
If Obiero did it, Who Am I?