[quote=dunkang][quote=Kusadikika]Now that we are talking about Raila's Cylinders being stolen are we going to be hearing about Uhuru's milk anytime we want to talk about Brookside milk.
"Jana usiku mlinzi wa usiku alipatikana akiiba maziwa ya Rais Uhuru"......... "Mama aliyenunua maziwa ya Rais Uhuru anung'unika kwamba yamemwagika".........."Maziwa ya Rais Uhuru yaharibika kabla ya kufikia wanunuzi Mandera kutokana na barabara mbovu."[/quote]
Hii bangi wana wazua wanavuta inamea kaunti ipi? That place must be EXTREMELY fertile![/quote]
Tharaka stronghold! very ngreen :-)
Float like a butterfly, sting like a bee. - Muhammad Ali🐝