Kwangu mimi sikuona mgombea yeyote aliyenishawishi kumpigia kura usiku wa leo. Ila labda Dida, lakini kwa vichekesho tu, si kwa kuonyesha uongozi.
Ingawa kweli wanasiasa Kenya wamegeuka wasanii. Lakini Muhmand Abduda Dida amewaacha visivyo. Tungelikuwa na zile vidonge vya Oska yeye ndiye angeshinda haswa leo.
Kura kwa msanii Dida!
"The opposite of a correct statement is a false statement. But the opposite of a profound truth may well be another profound truth." (Niels Bohr)