Uhuru: Tulienda debate. mimi nikasikiliza tu.
Woodwork akaanza ma-boree. mimi nasikiliza tu.
Dida akarushia RAO moja below the belt. mimi nasikiliza tu.
Martha akarukia RAO na maDVD. Mimi nasikiliza tu.
PK akawekelewa bonoko. Mimi nasikiliza tu.
Dida akanyambia watu. mimi nasikiliza tu.
TULIA.........UFUNZWE!