Angelica _ann wrote:Nduguzanguni,............
na dadazanguni,wengi walisema yakwamba hatutafika!
Lakini wananchi wameamua yakwamba wanataka Kenya mpya.
Twataka kuwashukuru wote waliojitokeza kupiga kura na tunawasihi mtulize hiyo amani upendo na umoja.
Tusahau yaliyopita,tushikane pamoja ili Kenya yetu iende mbele.(as if it was moving backwards)
Kwa Wenzangu mlioshindwa twawasihi mtulie hapo mlipo kwa maana serikali yangu itawapa kazi ya kutosha.
Tutawapa matractors muweze kulima mashamba yenyu,wana pollstars tutawapa computers mpya ili ifikapo uchaguzi mwingine,muweze kufanya hesabu vizuri.
Tumetoka mbali na twaenda mbali- sana

Serikali haitawasahau.Tutahakikisha ya kwamba kila mwananchi ako na huduma ya skype ili aweze kuwasiliana na sisi popote tulipo.
Mungu awabariki ndugu na dada za nguni.
"The true measure of a man is how he treats someone who can do him absolutely no good.