WARUMI 8:5-9.
Kwa maana wale waufuatao mwili huyafikiri mambo ya mwili,bali wale waifuatao roho huyafikiri mambo ya roho.
Kwa kuwa nia ya mwili ni mauti,bali nia ya roho ni uzima na amani. Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu,kwa maana haitii sheria ya Mungu,wala haiwezi kuitii.
Wale waufuatao mwili hawawezi kumpendeza Mungu. Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu,ninyi hamfuati mwili,bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo,huyo si wake.
siku ya kufa nyani miti yote huteleza