Wazua
»
Club SK
»
Politics
»
Nyong'o atukana Kalonzo
Rank: Hello Joined: 4/10/2011 Posts: 2
|
...Katika ulingo was siasa hakuna marafiki. Katu, Katu kabisa hakuna. Hebu angalia yale matusi Nyongo alimnyeshea Kalonzo alipoenda kuzuru Hospitali ya Moi Referral. Nyong'o akamwabia Kalonzo,'mbona hospitali ya Mathare ya wndawazimu haina vifaa, kwa nini unaingilia kati... Kutembelea na matamshi yako ni ya kitoto....... " Basi sijui mtasema nini sasa na sio NGILU sasa... Jisomee zaidi http://www.nation.co.ke/...80/-/1aiaes/-/index.html
|
|
|
Rank: Member Joined: 9/29/2010 Posts: 216 Location: Kenia
|
Nyong'o na Kalonzo wote wana makosa...lakini kosa la Nyong'o ndio kubwa mno!!!Inafaa Nyong'o ajiuzulu kwa sababu 'hospitali' ya Moi Eldoret imekuwa aibu kubwa kwetu sisi wakenya. Hata hapa nchi jirani ambapo mimi ninaishi, siwezi kujivuna kamwe eti mimi natoka nchi iliyo 'maarufu' - Kenya
|
|
|
Rank: Elder Joined: 3/2/2007 Posts: 8,776 Location: Cameroon
|
The busybody and the arrogant piece of crap. TULIA.........UFUNZWE!
|
|
|
Rank: Member Joined: 9/29/2010 Posts: 216 Location: Kenia
|
simonkabz wrote:The busybody and the arrogant piece of crap. @ Simoni Kabzi, tafadhali tafsiri hayo maneno (yaliyoandikwa kwa rangi nyekundu) ukizingatia kuithibiti maana ya sentensi kikamilifu
|
|
|
Wazua
»
Club SK
»
Politics
»
Nyong'o atukana Kalonzo
Forum Jump
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.