wazua Wed, Dec 31, 2025
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In

Nyong'o atukana Kalonzo
James_Kioko
#1 Posted : Tuesday, October 25, 2011 5:33:20 AM
Rank: Hello


Joined: 4/10/2011
Posts: 2
...Katika ulingo was siasa hakuna marafiki. Katu, Katu kabisa hakuna. Hebu angalia yale matusi Nyongo alimnyeshea Kalonzo alipoenda kuzuru Hospitali ya Moi Referral. Nyong'o akamwabia Kalonzo,'mbona hospitali ya Mathare ya wndawazimu haina vifaa, kwa nini unaingilia kati... Kutembelea na matamshi yako ni ya kitoto....... "

Basi sijui mtasema nini sasa na sio NGILU sasa...
Jisomee zaidi
http://www.nation.co.ke/...80/-/1aiaes/-/index.html
sihingwa
#2 Posted : Tuesday, October 25, 2011 9:46:11 AM
Rank: Member


Joined: 9/29/2010
Posts: 216
Location: Kenia
Nyong'o na Kalonzo wote wana makosa...lakini kosa la Nyong'o ndio kubwa mno!!!Inafaa Nyong'o ajiuzulu kwa sababu 'hospitali' ya Moi Eldoret imekuwa aibu kubwa kwetu sisi wakenya. Hata hapa nchi jirani ambapo mimi ninaishi, siwezi kujivuna kamwe eti mimi natoka nchi iliyo 'maarufu' - Kenya
simonkabz
#3 Posted : Tuesday, October 25, 2011 1:51:53 PM
Rank: Elder


Joined: 3/2/2007
Posts: 8,776
Location: Cameroon
The busybody and the arrogant piece of crap.
TULIA.........UFUNZWE!
sihingwa
#4 Posted : Tuesday, October 25, 2011 3:37:31 PM
Rank: Member


Joined: 9/29/2010
Posts: 216
Location: Kenia
simonkabz wrote:
The busybody and the arrogant piece of crap.



@ Simoni Kabzi, tafadhali tafsiri hayo maneno (yaliyoandikwa kwa rangi nyekundu) ukizingatia kuithibiti maana ya sentensi kikamilifuLaughing out loudly
Users browsing this topic
Guest
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2025 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.