Huyo sio mwizi, gaddafi alikuwa anauzaga mafuta pale Libya. Sasa, amekuturiwo akijificha na hao maaskari. Kuona hatawagojea akatoka bio. Sindio akapigwo risasi. Sasa kupigwo risasi, akauriwa. Sasa kuuriwa, wakakuja na kitu inaitwa bonoko wakamwekerea, sio mwizi, sio mwizi. Ata juzi wameua mwenzetu osama usiku na wakamwekerea. Ata mugabe atauriwa na awekerewe, na ni bure, na sio kuiba ameiba... Alikuwa ananiuziaga mafuta kama ya bao ya kumi...
TULIA.........UFUNZWE!