Cde Monomotapa wrote:Nabwire wrote:Cde Monomotapa wrote:Kisha mvua kikanyesha?
???? Mvua ikinyesha, mavuno tutakula
Kwa uhakika niko nje nanyeshwa wakati hu!
LOOL, ingia ndani ya nyumba kabla upate Pneumonia

. Kumbe Zimbabwe kuna mvua, kwasababu najua Nairobi kuna joto jingi, watu wanasweat!!!