wanyuru wrote:Mwezi iko kona.....kiu iko mingi....wapi leo?
@guka, nunua moja niende nyumbani nikinukia kama wanaume wengine
Kwani ni wanaume wangapi huenda kwako ndio ujue vile wao unukia?
Kiu iko, kuna thao hapa wallet.....
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man