Mabao: Bac 3 Ars 1
Ukombozi(saves): Bac 0 Ars 7
Kuotea yaani Off Side: Bac 8 Ars 4
Majaribio kwenye goli kwa jumla : Bac 19 Ars 0
Majaribio yaliyofika kwenye goli: Bac10 Ars0
...Majaribio yaliyotoka nje: Bac9 Ars0
Mipigo ya kona: Bac 5 Ars2
Kuhifadhi Boli yaani Possession: Bac 69% Ars31%
Masihara au Fauli: Bac 8 Ars 19
Kadi ya njano: Bac0 Ars5
Redikadi: Bac0 Ars 1
Ujinga, yaani mambo yaliosabibisha kupoteza mechi: Van Persi 1 Fabregas 1 Wenger 1
Shujaa, yaani watu waliobobea: Guardiola 1 Messi 1 Xavi 1 Alves 1 Almunia 1
Kichinjio: Camp Nou
..."Wewe ni mtu mdogo sana....na mwenye amekuandika pia ni mtu mdogo sana!".